Breaking: Wabunge Waliopo Dar, Watakiwa Kuripoti Ofisi ya Upelelezi
Global Publishers May 7, 2020 0 Comments
SHARE THIS:
Wabunge ambao bado wapo jijini Dar es Salaam watakiwa kwa hiyari yao kuripoti Ofisi ya Upelelezi Kanda Maalum Dar es Salaam kwa mahojiano ni kufatia agizo la Mkuuwa Mkoa wa Dar, Paul Makonda kuwataka wabunge kurejea bungeni kabla ya masaa 24