×

Mfugaji Aangua Kilio: “Magufuli niokoe, Bora Ninywe Sumu” – Video

Mfugaji Kutoka Wilaya ya Kiteto Mkoani Manyara, ameomba kuonana na Rais Magufuli, ili aweze kumsaidia kupata ng’ombe wake zaidi 300 waliokamatwa kwa madai ya kukutwa kwenye hifadhi.

Leave a Comment