Waziri wa Fedha na Mipango Dk Philip Mpango anawasilisha taarifa ya hali ya uchumi wa Taifa kwa mwaka 2019 na Mpango wa Maendeleo ya Taifa 2020/21. Taarifa hizo ndiyo msingi wa bajeti ya Serikali kwa mwaka 2020/21 atakayowasilisha Bungeni leo jioni.