×

Wabunge Watatu Chadema Watimkia CCM

Wabunge watatu wa Viti Maalum (CHADEMA), Dkt. Immaculate Semesi Sware (Kilimanjaro ), Anna Gidarya (Manyara ) na Latifa Chande (Lindi) leo wametangaza kuachana na CHADEMA na kuomba kujiunga na CCM wakisema amejionea kwa macho yake kazi iliyofanywa na serikali ya awamu ya tano.

Leave a Comment