×

Samia Ziarani CCM Wilaya ya Ilala

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam,  Samia Suluhu Hassan, akizungumza na  Kamati ya Siasa na Sekretarieti ya CCM Wilaya ya Ilala,  Dar es Salaam,  leo Juni 24,2020.

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Samia Suluhu Hassan,  leo Juni 24, 2020 amefanya ziara ya kichama Wilaya ya Ilala na kuzungumza na Wajumbe wa Kamati ya Siasa na Sekretarieti ya CCM wilaya hiyo.

Wajumbe wa Kamati ya Siasa na Sekretarieti ya CCM Wilaya ya Ilala wakimsikiliza Samia Suluhu Hassan.
Samia  alipowasili katika Ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya Ilala.

 (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

MAGUFULI AMPIGIA SIMU BILIONEA WA MADINI, ALIPATA MADINI YENYE KG 14

Leave a Comment