×

Majaliwa Azindua Msimu Wa Ununuzi wa Pamba Katavi

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama pamba wakati alipokagua ghala baada ya kuzindua ununuzi wa zao hilo mkoani Katavi kwa msimu wa 2020/2021 kwenye Chama cha Msingi cha Ushirika cha Kasekese wilayani Tanganyika.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi baada ya kuzindua ununuzi wa pamba Mkoani Katavi kwa msimu wa 2020/2021 kwenye Chama cha Msingi cha Ushirika cha Kasekese wilayani Tanganyika, Julai 4.
g
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama pamba yenye kiwango cha daraja la kwanza iliyokuwa ikipimwa wakati alipozindua ununuzi wa zao hilo.

 

 

Leave a Comment