×

Video: Zijue Pampu za Kisasa za Sola Zinazofanya Kazi Popote

TEKNOLOJIA iliyotumika kutengeneza pampu zetu za sola ina zaidi ya miaka 20 sasa. Tunadhibiti ubora madhubuti uliopangwa kutumika duniani kulingana na kiwango cha ISO9001. Bidhaa zetu zote zina ubora wa hali ya juu na zimethibitishwa na Shirika la Viwango nchini (TBS).


Tanzania ni nchi ambayo inaongoza kuwa na mito mingi zaidi barani Afrika, na kampuni yetu imewaletea pampu zenye teknolojia rafiki kwa matumizi rahisi kwenye mito na vyanzo vinginevyo.

Kampuni yetu ya SHIYUAN (WWB) Iyo Solar Pumps ina malengo madhubuti ya kuokoa gharama kwa watumiaji wote wa pampu zetu ambazo zinatumia nishati ya jua kufanya kazi.

Tumelenga kuwasaidia watumiaji wote wa bidhaa zetu kwa kuwaletea aina tofauti za pampu zenye uwezo tofauti-tofauti ambazo zitakidhi mahitaji ya kila mtumiaji katika maeneo husika. Uaminifu, heshima, kujali, kuthamini, unyeyekevu, ubora wa huduma na huduma kwa wateja,  ndicho tunachojivunia kwa kushirikiana na walio wateja nchini na hata nje ya nchi. Pampu zetu zote zina guarantee ya miezi sita

Mawasiliano:
Somali Road/Wapare Street,
HUGO PLAZA BUILDING, Arusha, Tanzania.

+255 (689) 494 920
+255 (745) 888 887

[email protected]

Leave a Comment