








Mapema leo Mr. Championi amewakabihi tiketi za kuingilia uwanjani kushuhudia sherehe za Kilele cha Simba Day leo Agosti 22, 2020 ambapo mashabiki wamejitokeza kwa wingi.
Mr.Championi amewakabidhi mashabiki ambao walikutwa wakilisoma gazeti hilo katika viunga vya uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam.