Mgombea wa Mbatia Ajitoa Kwenye Kinyang’anyiro Global Publishers September 18, 2020 0 Comments SHARE THIS: MGOMBEA ubunge Jimbo la Madaba mkoani Ruvuma kupitia Chama cha NCCR-Mageuzi, Mkinga Ugin Gidion, amejitoa katika kinyang;anyiro hicho huku mwenyekiti wa chama hicho jimbo hilo, Joseph Kibena, akijiuzulu nafasi hiyo. SHARE THIS: