
MGOMBEA Urais Kupitia tiketi ya CCM, Dkt John Pombe Magufuli, leo Septemba 20, 2020 ameendelea na kampeni zake za kituo kwa kituo akiwa safarini kutoka Kigoma Kuelekea Tabora.
Akiwa Uvinza aliposimama kuzungumza na wananchi, Magufuli amempigia simu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-
Picha mbalimbali zikionesha Baadhi ya wananchi wa Kazuramimba wilayani Uvinza mkoani Kigoma waliojitokeza kumlaki Mgombea Urais kupitia (CCM) Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa chama hicho tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati akiwa njiani kuelekea Urambo mkoani Tabora.






