
Mchungaji Magembe wa kanisa la TAG atangaza kujiondoa katika kanisa hilo na kuanzisha kanisa lake kutokana na mgogoro unaoendelea kati yake na viongozi wa juu kanisa hilo
Akieleza sababu zinazo mtoa kanisani hapo, anadai ni mfumo mbovu wa uongozi wa kanisa hilo jambo liliopelekea kushindwa kukemea maadili mabovu,