Bodi ya Ligi Yaufunga Uwanja wa Jamhuri Moro Global Publishers September 28, 2020 0 Comments SHARE THIS: BODI ya Ligi nchini imeufungia Uwanja wa Jamhuri wa mjini Morogoro hadi utakapofanyiwa marekebisho katika maeneo matatu ambayo ni: eneo la kuchezea (pitch), vyumba vya kubadilishia nguo na sehemu ya kukaa wachezaji wa akiba (technical benches). SHARE THIS: