×

TFF Yakemea Mashabiki Yanga Kuwashambulia Simba

SHIRIKISHO  la Soka Tanzania (TFF) limetoa tamko likikemea kitgendo cha mashabiki wa Yanga SC kuwafanyia fujo mashabiki wa Simba SC katika Uwanja wa Jamhuri Morogoro kwenye mchezo wa Yanga vs Mtibwa Sugar uliofanyika  jana Jumapili, Septemba 27, 2020.

Leave a Comment