×

Samatta Awaomba Mashabiki Waiache Aston Villa – Video

NAHODHA wa Timu ya Taifa ya Tanzania “Taifa Stars’ Mbwana Samatta amewaomba wanaoandika mambo yasiyo mazuri katika ukurasa wa timu yake mpya Fenerbahce akisistiza wanatia ugumu hata kwa Watanzania wengine huko baada yake kwa kuwa timu zitakumbuka kuhusu wachezaji wa Kitanzania.

Leave a Comment