×

Mahakama ya Ndizi Sasa ni Mali ya Wananchi – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na Mgombea Urais kwa tiketi ya chama hicho, Dkt. John Magufuli amesema Soko la Mabibo, Maarufu kama Mahakama ya Ndizi litakuwa chini ya wananchi.

 

Magufuli ameyasema hayo leo Jumanne, Oktoba 13, 2020, alipokuwa katika mkutano wa kampeni, akiwa anawaomba kura wananchi wa Ubungo.

 

Ameyasema hayo baada ya mgombea Ubunge wa Ubungo kupitia CCM, Prof. Kitila Mkumbo kusema kuwa, soko lile lilikuwa na changamoto kwa kuwa halikuwa rasmi kutokana na eneo hilo kuwa chini ya kiwanda cha Urafiki hivyo kushindwa kufanya uwekezaji.

 

Leave a Comment