×

LIVE: Magufuli Afunga Kampeni Dodoma

MGOMBEA Urais (CCM), Dkt John Magufuli, leo Oktoba 27, anafunga kampeni zake akiwa jijini Dodoma, ambapo amewaomba watanzania kumpigia kura yeye, wabunge, Pamoja na madiwani wa CCM.

Leave a Comment