
Matayarisho ya mapambano ya ngumi ya Afrika Mashariki na Kati yaliyoandaliwa na Global TV Online katika Ukumbi wa Dar Live Mbagala-Zakhem, jijini Dar es Salaam yamekamilika na kinachongojewa kwa sasa ni wadau mbalimbali walioalikwa kuingia ukumbini hapo kuanzia sasa. Mapambano hayo yataonyeshwa mubashara (live) kuanzia saa 2:00 usiku leo.
Mapambano hayo ambayo yatarushwa mubashara na Televisheni ya Mtandaoni ya Global TV Online BURE, yatakuwa kama ifuatavyo:
CHICHI MAWE VS ISRAEL KAMWAMBA
NASIBU RAMADHAN VS BERNARD MWANGO
IDD PIALALI (TANZANIA) VS REGION CHAMPION (MALAWI)
Subscribe hapa www.youtube.com/user/uwazi1
