×

Breaking: JPM Amtumbua Aliyeshindwa Kuapa, Ateua Mwingine

RAIS John Magufuli amemteua Prof. Shukrani Manya, kuwa Naibu Waziri wa Madini, ambapo pia ameteuliwa kuwa mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.  Kabla ya uteuzi huo, Manya alikuwa Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini.

Leave a Comment