×

Vodacom Yatamatisha Shangwe Shangwena kwa Kukabidhi Gari Dodoma

Mshindi wa tano wa Promosheni ya Vodacom Tanzania, Shangwe Shangwena,  William Mpachilla, mkazi wa Ipagala mjini Dodoma akifungua mlango wa gari mpya  aliyojishindia kwenye promosheni hiyo.  Anayeshuhudia nyuma kulia ni  Mkuu wa wilaya ya Dodoma,  Mhe. Josephat maganga na Mkuu wa Mauzo Vodacom Kanda ya Kati, Grace Chambua.

Ilikuwa full burudani Shangwe shangwenaaaa kama zote.
Shangwe zilianzia mtaani kwa maandamano na gari la mshindi.
Umati ulivyofurika kushuhudia mtu akikabidhiwa gari lake.
Mshindi akiwa na bonge la tabasamu baada ya kukabidhiwa namba ya usajili ya gari lake.

Leave a Comment