×

Silinde: Ni Dharau, Mhe. Magufuli Mngemjibu Hivi? Nawapa 3 Tu – Video

NAIBU Waziri wa Tamisemi, David Silinde, ametembelea na kukagua ujenzi wa madarasa ya shule iliyopo Dodoma na kuweka wazi kuwa hajaridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa madarasa hayo ambao umechukua muda mrefu bila kukamilika kutokana na ugomvi kati ya mkuu wa shule hiyo na kamati ya ujenzi.

 

Leave a Comment