×

Mwamnyeto Apata Pigo Kubwa

NAHODHA msaidizi na beki wa Timu ya Yanga na Timu ya Taifa ya Tanzania, Bakari Nondo Mwamnyeto amepata pigo kubwa kwa kuondokewa na mpenzi wake pamoja na mtoto wake mapema leo katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam.

Leave a Comment