×

Sikiliza Karata Tatu Kutoka Kwa Ibraah wa Harmonize – Audio

MWANAMUZIKI wa Bongo fleva, Ibraah, aliyepo chini ya lebo ya Konde Music Word Wide, ametimiza ahadi yake ya kuachia Karata Tatu (3) January 9,2021. Karata tatu ni mkusanyiko wa nyimbo 3 ambazo ni #Nimpende #Mapenzi na #Upande ambao amemshirikisha Skales kutoka Nigeria.

2. Ibraah – Nimpende (Official Audio)

3. Ibraah – Mapenzi (Official Audio)

Leave a Comment