×

Yanga Wazindua Kalenda Yao Ya Mwaka 2021

KLABU ya soka ya Yanga imezindua rasmi kalenda yake ya mwaka 2021.

Taarifa rasmi ya Yanga imeeleza: “Kalenda ya timu ya wananchi tayari imeshatoka na inapatikana kwa bei ya shillingi 5,000 Makao makuu yetu mtaa wa Twiga/Jangwani na Maduka yote ya GSM.

“Mwananchi pata nakala yako Sasa ili utambe na Kalenda yako,”

 

Leave a Comment