
SECOND lady kutoka lebo kubwa ya muziki Bongo, Wasafi Classic Baby ‘WCB’, Zuhura Othman ‘Zuchu’ kwenye TAMASHA la Wasafi Tumewasha limefanyika usiku wa kuamkia leo Januari 31, 2021 katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar na wasanii zaidi ya 20 wamepafomu wakiongozwa na, Diamond Platinumz.