MWANDISHI wa habari, Mukhsin Mambo, amefariki dunia hii leo Jumatatu, Februari 8, 2021, akiwa nyumbani kwake nchini Marekani. Mambo, amewahi kufanya kazi katika vyombo mbalimbali vya habari hapa nchini ikiwemo Star TV.