×

NEW VIDEO: ME- Hello

Aliyekuwa meneja wa msanii wa kike machachari Bongo, Chemical, Alex Masiga anayetumia jina la kisanii la ME ameaamua kuingia studio mwenyewe na kuachia kichupa kikali, Hello. Kitazame hapa

Leave a Comment