×

Mvulana (12) Aua Mwizi Aliyeingia Nyumba ya Bibi Yake

Bi. Linda Ellis.

MVULANA mwenye umri wa miaka  12 amemuua mwizi aliyevaa kinyango ambaye, alivunja na kuingia katika nyumba ya bibi yake., polisi wa North Carolina, Marekani, wamesema.

 

 

Robber Khalil Herring (19) alikuwa mmoja wa wanaume (wezi) waliovunja na kuingia katika nyumba ya Linda Ellis (73) huko  Goldsboro, North Carolina, ambaye alimpiga risasi mwanamke huyo.

Wakati wa wizi huo, mvulana huyo alimpora bunduki mwizi huyo na kuwarushia risasi iliyompata Herring ambaye alipelekwa  hospitali ya Wayne UNC alipofariki kwa majeraha aliyopata.

 

 

 

Chiquita Coley mmoja wa mashuhudi akielezea kilichotokea.

 

 

Leave a Comment