
MVULANA mwenye umri wa miaka 12 amemuua mwizi aliyevaa kinyango ambaye, alivunja na kuingia katika nyumba ya bibi yake., polisi wa North Carolina, Marekani, wamesema.
Robber Khalil Herring (19) alikuwa mmoja wa wanaume (wezi) waliovunja na kuingia katika nyumba ya Linda Ellis (73) huko Goldsboro, North Carolina, ambaye alimpiga risasi mwanamke huyo.
Wakati wa wizi huo, mvulana huyo alimpora bunduki mwizi huyo na kuwarushia risasi iliyompata Herring ambaye alipelekwa hospitali ya Wayne UNC alipofariki kwa majeraha aliyopata.


