×

Mzee Aliyempa Kuku Magufuli Atua Chato Kumzika – Video

HATIMAYE Mwili wa Hayati Magufuli, umezikwa jana Ijumaa, Machi 26, 2021, katika makaburi ya familia yake yaliyopo wilayani Chato mkoani Geita. Mazishi yake yameongozwa na Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan.

 

Miongoni mwa wananchi walifokia kumzika ni mzee aliyempa kuku Magufuli mkoani Lindi enzi za uhai wake wakati akiwa safarini akitokea Lupaso kumzika Rais Mstaafu, Mzee Benjamin Mkapa.

Leave a Comment