×

Global Habari Juni 21 – Rais Samia Awaapisha Wateule Wake

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan leo Juni 21, 2021 amewaapisha Balozi Batilda Salha Burian kuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora na Zuwena Omari Jiri kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Shinyanga.

 

Leave a Comment