×

Dkt. Mpango Kuapa Kesho Dodoma

Makamu wa Rais mteule Dkt. Philip Isdor Mpango kuapishwa kesho March 31, 2021 kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Hafla ya uapisho itafanyika Ikulu ya #Chamwino jijini #Dodoma.

Leave a Comment