×

Video: Global Habari Mei 05 – Tanzania Na Kenya Kuimarisha Ushirikiano


Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameeleza mikakati itakayotekelezwa ili kuboresha mahusiano mazuri baina ya Tanzania na Kenya sambamba na kuahidi ushirikiano katika kukabiliana na ugonjwa wa Covid – 19 ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Leave a Comment