MCHUNGAJI Dk. Getrude Lwakatare wa Kanisa la Mlima wa Moto, Mikocheni B jijini Dar es Salaam, akiwa na viongozi wa kanisa hilo usiku wa kuamkia leo Desemba 14, 2019, wamefanya Kongamano la Shilo katika Kanisa la Mlima wa Moto.