BAADA ya kutoka suluhu katika mchezo dhidi ya Namungo FC, kikosi cha Yanga, leo Jumanne kimetua leo Mei 18, 2021 jijini Dodoma tayari kuvaana na JKT Tanzania hapo kesho Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma.