×

Mondi Kama Mswati

Staa wa muziki Afrika Mashariki, Nasibu Abdul au Diamond Platnumz amewapagawisha mashabiki wake kwa kuachia video inayomuonesha akiwa studio na msanii wa Nigeria, Mr Flavour huku akiwa amezungukwa na warembo kiasi cha kupewa jina la Mswati.

 

Kwenye video aliyoposti, Mondi anaonekana akirekodi wimbo na Mr Flavour huku gitaa likipigwa na kijana wake, Mbosso Khan.

 

Mondi amepewa jina hilo la Mswati ambalo ni la Mfalme wa Uswatini anayeongozwa kwa kuwa na wanawake wengi wazuri na ndivyo staa huyo wa Ngoma ya Waah alivyoonekana akiwa chini ya ulinzi mkali wa warembo hao.

Leave a Comment