×

Video: Rais wa Botswana Aondoka Nchini Baada ya Kumaliza Ziara Yake

 

Rais wa Botswana, Mokgweetsi Masisi  leo Juni 11, 2021 ameondoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam-Tanzania leo Ijumaa kurejea nchini mwake, baada ya kumaliza ziara ya siku mbili nchini humo kwa mwaliko wa Rais Samia Suluhu Hassan.

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Leave a Comment