Aliyekuwa mwenyekiti wa Yanga SC Yusufu Manji leo Juni 27, 2021 amefunguka katika Mkutano Mkuu wa Mwaka 2021 katika ukumbi wa DYCC, uliopo Zimbabwe Road, Temeke mkabala na Chuo cha Ualimu pamoja na Uwanja wa Benjamin Mkapa.