×

Mateso: Binti Apata Uvimbe Wa Ajabu, Aomba Msaada -Video


Asha Asangalwisye (20) Binti aliyepoteza Muonekano wa Sura yake kutokana na Uvimbe mkubwa aliokuwa nao, Amekuwa ni binti wa kujifungia ndani kutokana na Kunyanyapaliwa kwa hali aliyonayo.

GLOBALJAMII Team ikafunga safari kumfikia Binti huyo, Ikiwa ni Umbali wa Km 800 kutoka Dar es salam makao makuu ya ofisi za Global group hadi Mbalizi Mkoani Mbeya..

Na hii yote ni katika harakati za kuzifikia familia zilizokata tamaa ya maisha kutokana na magumu wanayokutana nayo.

MAWASILIANO 0757250790
0714207395

 ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Leave a Comment