×

Breaking: Charles Keenja Afariki Dunia

Aliyewahi kuwa Mkurugenzi wa Tume ya Jiji la Dar, Mbunge wa Ubungo na Waziri katika Serikali ya Awamu ya Tatu, Charles Ndiliana Ruwa Keenja (80) amefariki dunia leo Agosti 5, 2021.

Kaenja amefikwa na umauti wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Seifee mkoani Dar es Salaam.

Leave a Comment