×

Bocco: Kila la Heri Manara, Asante Mo

Ulistahili kupokea hii zawadi @moodewji ukiwa kama mwenyekiti wetu na muwakilishi wa wanasimba wote @simbasctanzania.

Niwashukuru mashabiki wetu kwa umoja wenu na upendo kwa sisi wachezaji wenu🙏🏿🙏🏿 niwashukuru sana viongozi wetu kwa juhudi maarifa na mazingira mazuri wanayotuwekea sisi wachezaji ilikuifanya kazi yetu vizuri @bvrbvra 🙏🏿🙏🏿🙏🏿 @moodewji pokea asante yetu boss tunathami sana moyo wako na mazingira mazuri ya kazi unayotuwekea boss pamoja na bodi yako kwa ujumla🙏🏿🙏🏿🙏🏿

@simbasctanzania umoja wetu na upendo wetu ndio nguzo ya sisi kufanya vizuri zaidi kwa msimu unaokuja🦁

Ni wakati wakuzidisha imani, upendo na umoja kwa wachezaji,benchi la ufundi pamoja na viongozi wetu ili tuzidi kupata mafanikio makubwa zaidi kwa misimu ijayo💪🏿

@hajismanara nikushukuru kaka kwa kuitumikia club yetu nakutakia kheri kwa kila jambo kaka mkubwa🦁nguvumoja🦁

✍ Nahonda wa Klabu ya Simba, John Bocco.

Leave a Comment