
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Profesa Edward Hoseah wakati Ujumbe wa Chama hicho ulipofika Ikulu Chamwino Jijini Dodoma leo tarehe 11 Agosti, 2021.


