×

Chelsea, Arsenal zatinga 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya

arsenal

Olivier Giroud na wenzake wakishangilia ushindi dhdi ya Olympiacos.

ushindi

Chelsea wakishangilia kutinga hatua ya 16 Bora ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.

wenger

Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger akishangilia ushindi wa timu yake.

Klabu za Chelsea na Arsenal kutoka England usiku wa kuamkia leo zilifanikiwa kutinga hatua ya 16 Bora ya Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya kushinda mechi zao za mwisho katika makundi yao.

Giroud

Olivier Giroud akishangilia bao lake la pili.

Chelsea waliibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya FC Porto na kuongoza Kundi G huku Arsenal wakiifunga Olympiacos mabao 3-0 na kushika nafasi ya pili katika Kundi F.

willian

Willian wa akishangilia bao aliloifungia Chelsea.

Hii ndiyo orodha ya timu zilizotinga hatua ya 16 bora

16 BORA

Haya ni matokeo ya mechi za usiku wa kuamkia leo pamoja na wafungaji.

Kundi E

Bayer Leverkusen 1 – 1 Barcelona

Wafungaji: 

Barcelona: Dk 20 Lionel Messi
Bayer Leverkusen: Dk 23 Javier Hernandez

Roma 0 – 0 BATE Borisov

Kundi F

Dinamo Zagreb 0 – 2 Bayern Munich

Wafungaji: 

Bayern Munich: Dk 61 na 64  Robert Lewandowski

Olympiacos 0 – 3 Arsenal

Wafungaji:

Arsenal: Dk 29, 49, 67 (pen) Olivier Giroud

Kundi G

Chelsea 2 – 0 FC Porto

Wafungaji: 
Chelsea: Dk 12 Ivan Marcano (kajifunga), Willian 52

Dynamo Kyiv 1 – 0 Maccabi Tel Aviv

Wafungaji:

Dynamo Kyiv: Dk 16 Denis Garmash

Kundi H

Gent 2 – 1 Zenit St. Petersburg

Wafungaji: 

Gent: Dk 18 Laurent Depoitre na Dk 78 Danijel Milicevic
Zenit St. Petersburg: Dk 65 Artem Dzyuba

Valencia 0 – 2 Lyon

Wafungaji:

Lyon: Dk 37 Gnaly Maxwell Cornet na Dk 76 Alexandre Lacazette

Leave a Comment