×

Kocha Stars Atangaza Kikosi Cha Kufuzu Kombe la Dunia

Kocha wa Timu ya Taifa, Kim Poulsen ametangaza kikosi kitakachoingia kambini Agosti 24, 2021 kujiandaa na michezo ya kufuzu Kombe la Dunia dhidi ya DR Congo na Madagascar.

Leave a Comment