Global Publishers September 18, 2020 535,025 views 0 Comments
SHARE THIS:
KIUNGO Thiago Alcantara ameandika barua ya kuuaga uongozi na mashabiki wa klabu ya Bayern Munich. Taarifa kutoka nchini Uingereza zinaeleza kuwa ameshakubali kujiunga na klabu ya Liverpool na anatarajiwa kutangazwa muda wowote.