×

E bwana dah! Baby Madaha kafulia, ‘timing’ au nini?

11351637_1683095271927484_467707694_nMwanamuziki Baby Madaha.

MWANDISHI WETU
Mwanamuziki Baby Madaha ambaye pia anafanya filamu yupo kimya, haijulikani kama kafulia, anakula ‘timing’ au anafanya dili nyingine.

Mashabiki zake ambao wamezoea kuona mbwembwe zake wanahoji kuhusu ukimya wake huku wengine wakisema huenda akiibuka atakuja mazima.

Mara ya mwisho iliripotiwa kuwa alikwenda Dubai kula bata na mtu wake.
Baada ya hapo ikawa jiii. Alipopigiwa simu na paparazi wetu hakupokea wakati siyo kawaida yake. Why?

Leave a Comment