×

Manara Amfunga Kamba za Viatu Feisal – Video

Msemaji wa Yanga, Haji Manara akifunga kamba za viatu vya kiungo wa timu hiyo, Feisal Salum ‘Feitoto’ ambaye amekuwa akimuhusudu tangu akiwa Simba.
Msemaji wa Yanga, Haji Manara  leo amefunga kamba za viatu vya kiungo wa timu hiyo, Feisal Salum ‘Feitoto’ ambaye amekuwa akimuhusudu tangu akiwa Simba kwenye kilele cha Wiki Ya Mwananchi katika dimba la Benjamin Mkapa.

 

Leave a Comment