
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan,amemteua Dkt. Yamungu Kayandabila kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC) Dkt. Kayandabila na Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (Bot)
Rais Samia Pia ameteua Dkt. Naomi Bakunzi Katunzi kuendelea kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (TEWW) kwa kipindi kingine cha miaka mitatu (3)
Uteuzi huu umeanza tarehe 14, Septemba 2021.
