×

Omary Kigoda ndiye Mbunge Mteule wa Handeni Mjini

Omari-Kigoda

Omary Abdallah Kigoda.

Mgombea Ubunge wa Jimbo la Handeni kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Omary Abdallah Kigoda ameibuka mshindi kwa kupata kura 10,315.  Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Handeni Mjini, Keneth Hauleamemtangaza Omary kuwa mbunge mteule wa jimbo hilo.

MATOKEO JIMBO LA HANDENI MJINI:

Omary Kigoda CCM 10,315

Shundi Aidan CUF 2415

Daud lusewa CHADEMA 648

Doyo hassani ADC 184

Makame bakari TLP 19

Bakari Mhina AFP 6

Wapiga kura waliojiandikisha walikuwa 38,610

Waliopiga kura ni 13,805

Kura halisi 13,591

Kura zilizoharibika 214

Leave a Comment