
MWENYEKITI wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, leo Octoba 03,2021 akiongoza Kikao cha Kamati Kuu Maalum ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi CCM iliyokutana Ikulu Chamwino jijini Dodoma.
