Mbunge wa Dodoma Mjini Anthon Mavunde Amewataka Wakazi Wa Mkoa Wa Dodoma Kuacha Kilimo Cha Mazao Ya Chakula Na Kujikita Katika Kilimo Cha Mazoa Ya Biashara, Kwa Kuwa Sasa Kutokana Na Dodoma Kuwa Makao Makuu Kumekuwa na Uhitaji Mkubwa wa Mazao ya Chakula